Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Al-Hilal ameshajihakikishia nafasi yake huko robo fainali. Ila Yanga na TP Mazembe wana njia ndefu sana kufikia robo. Yanga anatakiwa ashinde michezo yote ya nyumbani pamoja na mchezo mmoja wa nje uliobaki. Ni kazi kubwa sana

View attachment 3176928
Hapo ni kuombea alger apigwe tena na hilal game ya pili na yanga kumfunga mazembe,kisha kufanya kila kitu kibaya kwa alger akija dar
 
Kwanza Yanga amfunge Mazembe nyumbani, ili safari ianze ya kusaka ya kwenda robo fainali.
 
Tunaanza na kwako kwanza hater je hukuipiga kejeli kuwa Yanga ndio safari imeiva baada ya mechi tatu kuambulia point 2 tu huku wenzie wote wakiwa na point 5 na 4?
Yule hater ndio mimi

Tunaweza kuendelea na hii convo
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom