Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

🤣😅😅
Nisamehe bhn
Tunakuwa tunaenda vizuri ila Sasa watani wananipopoa na Mimi naona usiwe kinyume Wacha niwajibu😅
Hahahahaha.
Duu siku zinaenda sana, leo umekuwa mpole namna hii🤣🤣
 
Na ukumbuke kuwa Al Hilal kufuzu peke yake sio kitu pekee kitachomtosha asiweze kukaza mechi zingine.

Kumbuka timu inayomaliza on top kwenye group ndio ambayo itapata unafuu kwenye draw ya robo kwa kupangiwa na vibonde.
Vibonde?..kuna nyakati al ahly hushika nafasi ya pili
 
Counter ni sehemu ya mbinu za mchezo.
Jambo zuri amecheza hivyo mara nyingi na maadui zake wameshindwa kuvunjà ukuta wake.
Apewe maua yake
Ameshinda gemu moja tu na Simba na kupigwa gemu 3 akicheza hiyo counter attack.
 
Al-Hilal ameshajihakikishia nafasi yake huko robo fainali. Ila Yanga na TP Mazembe wana njia ndefu sana kufikia robo. Yanga anatakiwa ashinde michezo yote ya nyumbani pamoja na mchezo mmoja wa nje uliobaki. Ni kazi kubwa sana

1734227555307.png
 
𝗛𝗶𝗶 𝗔𝗹 𝗛𝗶𝗹𝗮𝗹 𝗶𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝗳𝘂𝘇𝘂 90%, 𝗶𝗻𝗮𝗵𝗶𝘁𝗮𝗷𝗶 𝗽𝗼𝗶𝗻𝘁 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘁𝘂
hapana, anahitaji point 3!
point 10 zinaweza kufikiwa za timu 2 zingine
 
Tuache mpira wa kwenye kamari. Hapo vyura hawana chao. Kila timu inajipanga kushinda, habari za kusema fulani apoteze ili wewe unufaike ni mpira wa kamari huo.
 
Back
Top Bottom