mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Asilimia kubwa ya wanywa supu wanadai Wana point 10 na tayari wamefuzu. Watashinda mechi zote tatu zilizobaki 😂😂 Hawajui Ile ilikuwa NGUVU ya masindano🤣🤣Kuna vibonde na vibonde zaidi.Yaani timu inacheza mechi 3 ina pointi 1?Halafu ngebe nyingi.