Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—”๐—น ๐—›๐—ถ๐—น๐—ฎ๐—น ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜‡๐˜‚ 90%, ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ฝ๐—ผ๐—ถ๐—ป๐˜ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜๐˜‚
Mpira una maajabu asee,ukute iyo point moja haipati na anatolewa.Alafu anafuzu Uto na hao waarabu wa kisukuma.
 
Hizi ngonjera zimekuwa kama albamu iliyokwaruzika.Tuta Tuta tuta.Kwenye ligi mmeshaburuzwa mara 2 mmebaki na historia.
NBCPL tunabeba
FA tunabeba
CAFCL tunabeba
Tutawaachia mapinduzi cup ambayo nayo imefutwa
 
Point 1 ya CAFCL ni sawa na points 9 za mashindano ya akina mama
Washindi wa miaka miwili mfululizo wa Shirikisho ndio bingwa wa Super Cup kwa kuwaburuza Al Ahly 2023 na 2024.
Mwaka 2023 USM kwa kuwafunga Al Ahly 1-0.Na 2024 Zamalek alimburuza Al Ahly kwa penalti 6 kwa 5.
Ila kwa ujinga wako wa kufuata mkumbo na kutojua mpira unaropoka tu.
 
Ndo nasema hatujafuzu wala hatujatoka
Tungoje muda
Utaamua kama tunatoka au tunafuzu
Hapa tunabishana tu ushabiki
Tusubiri michezo tuone
Kabla hatujafika tulipofika ulikuwa na maneno mengi ya kusema dhidi ya timu yako.
Leo umekuwa mpoleee๐Ÿ™„๐Ÿคฃ
Mechi tatu tu mnahesabu point kwa vidole๐Ÿคฃ
Hiyo ndiyo Champion League.
Hakuna kudekezana huko
 
Washindi wa miaka miwili mfululizo wa Shirikisho ndio bingwa wa Super Cup kwa kuwaburuza Al Ahly 2023 na 2024.
Mwaka 2023 USM kwa kuwafunga Al Ahly 1-0.Na 2024 Zamalek alimburuza Al Ahly kwa penalti 6 kwa 5.
Ila kwa ujinga wako wa kufuata mkumbo na kutojua mpira unaropoka tu.
Basi shirikisho yaani mashindano ya akina mama ni Bora kuliko CAFCL
Furahi mbumbumbu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Basi shirikisho yaani mashindano ya akina mama ni Bora kuliko CAFCL
Furahi mbumbumbu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nabishana na senge mimi nilidhani una jua mpira kumbe shabiki maandazi.
 
Kabla hatujafika tulipofika ulikuwa na maneno mengi ya kusema dhidi ya timu yako.
Leo umekuwa mpoleee๐Ÿ™„๐Ÿคฃ
Mechi tatu tu mnahesabu point kwa vidole๐Ÿคฃ
Hiyo ndiyo Champion League.
Hakuna kudekezana huko
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
 
Mbona kama ataweka nguvu kwenye mechi ya marudiano na Mc Alger kwao maana ndo ya kufuzu na hamna atakayemkuta,maana ndo watarudiana kabla ya Yanga na Mazembe ,hiyo haitampa unafuu Yanga kwamba anaweza asimkazie maana atakuwa ashafuzu?
Mechi ya marudiano haitakuwa nyepesi na hata wao Mc Alger ni lazima watafute mechi yeyote ya away ya kufidia hizi point 3 walizopoteza leo.

Kama itashindikana kupata point 3 basi angalau wapate 1, hiyo itawatosha kuwarudisha kwenye hesabu zao.

Game yao dhidi ya Yanga nayo itakuwa ni fainali. Na hata ikitokea wanafungwa basi wasiruhusu zaidi ya goli 2.

Hiyo itakuja kuwapa advantage mbeleni iwapo ikitokea wamefungana point na Yanga, wao wanaweza kufaidika kupitia h2h.

Mazembe sina imani naye kwenye mechi yeyote ile ambayo amebakisha.
 
Back
Top Bottom