Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa majamaa wanavyocheza hapa sio wa kuwawekea matumaini Al Hilal kuwa wanaweza kushinda hii mechi.Kwani si walishacheza nao kipindi cha kwanza wakapoteana ila uzembe wa Yanga kuleta mbwembwe wakashindwa kupata goli kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili mabeki na kipa wakafanya uzembe wakafungwa magoli ya kipumbavu kabisa
Tujilaumu wenyeweKwani si walishacheza nao kipindi cha kwanza wakapoteana ila uzembe wa Yanga kuleta mbwembwe wakashindwa kupata goli kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili mabeki na kipa wakafanya uzembe wakafungwa magoli ya kipumbavu kabisa
Napoyoyo kuliko wale wanaoshiriki mashindano ya akina mamaHawa ndio watafuzu kwenye hili kundi,sio yale mapoyoyo yaliyocheza jioni.
We umechanganyikiwa,mechi ya leo Mc Alger ampige Mazembe?Tujilaumu wenyewe
Ila naamini tutaenda kumfunga Al Hilal huko Libya
Mechi na Leo naombea Mc Alger ashinde ampige Mazembe ili tukija kucheza nae mechi ya mwisho awe amefuzu asikaze sana