Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #61
Kwani MC Algier walipocheza na nyie walikuwa na mashabiki?Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al Hilal
Al Hilal hayupo Sudan yupo Mauritania ambapo hana mashabiki kwaiyo tutakuwa kama tupo neutral ground
Na kumbuka tutakuwa tumepata boka kutoka majeruhi na usajili wa wachezaji muhimu