Full Time: Mc Algier 0-1 Al Hilal | CAF Champions | Disemba 14,2024

Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al Hilal
Al Hilal hayupo Sudan yupo Mauritania ambapo hana mashabiki kwaiyo tutakuwa kama tupo neutral ground
Na kumbuka tutakuwa tumepata boka kutoka majeruhi na usajili wa wachezaji muhimu
Kwani MC Algier walipocheza na nyie walikuwa na mashabiki?
 
Kila mechi inaamua kundi mkuu. Mfano ikiisha sare ni nzuri kwa Yanga na Mazembe kuliko Alger akishinda.
Sisi tunaomba ashinde mc Alger ili tuje kucheza nae mechi ya mwisho akiwa ashafuzu
 
Kwani MC Algier wanapocheza na nyie walikuwa na mashabiki?
Mc Alger walitukuta timu yetu ina majeruhi wa muhimu hasa Aucho na Boka
Na Coach alikuwa mpya katika mazingira Yale ilikuwa ni ngumu kushinda
Ila Sasa mechi zijazo coach atakuwa ashapata time na ninaamini tutashinda
 
Sisi tunaomba ashinde mc Alger ili tuje kucheza nae mechi ya mwisho akiwa ashafuzu
Mnapaswa kuwaombea droo. Katika 9 zilizobaki itawapunguzia mzigo wa kulazimika kuzibeba zote 9.
 
Me naonA tukicheza na mc Alger akiwa anatafuta points hapo tunaweza kukwama
Mc Alger ndo mbabe
Hao wengine tunakamatana tu
 
Yanga ana mechi 1 ya ugenini dhidi ya Al Hilal
Al Hilal hayupo Sudan yupo Mauritania ambapo hana mashabiki kwaiyo tutakuwa kama tupo neutral ground
Na kumbuka tutakuwa tumepata boka kutoka majeruhi na usajili wa wachezaji muhimu
Kwahiyo tuseme Yanga itashinda mechi mbili za nyumbani na kufikisha point 7, Al Hilal akitoa draw na mazembe anakuwa na point 7,akimfunga anakuwa na point 9,Mc Alger akimfunga Mazembe anakuwa na point 10, upo uwezekano Mc Alger na Al Hilal kuchukua points kwa Mazembe,halafu utakuwa haupo serious kumfunga Al Hilal ugenini au draw wakati kakutandika hapa hapa mbele ya mashabiki wako,hata kama aliko hana mashabiki we unao ukienda kwake?
 
Second half inaendelea
 
Mc Alger walitukuta timu yetu ina majeruhi wa muhimu hasa Aucho na Boka
Na Coach alikuwa mpya katika mazingira Yale ilikuwa ni ngumu kushinda
Ila Sasa mechi zijazo coach atakuwa ashapata time na ninaamini tutashinda
Hamjawahi kosa sababu
 
Kwahiyo tuseme Yanga itashinda mechi mbili za nyumbani na kufikisha point 7, Al Hilal akitoa draw na mazembe anakuwa na point 7,akimfunga anakuwa na point 9,Mc Alger akimfunga Mazembe anakuwa na point 10, upo uwezekano Mc Alger na Al Hilal kuchukua points kwa Mazembe,halafu utakuwa haupo serious kumfunga Al Hilal ugenini au draw wakati kakutandika hapa hapa mbele ya mashabiki wako,hata kama aliko hana mashabiki we unao ukienda kwake?
Mechi ya Al Hilal tukicheza ilikuwa mechi ya kwanza ya coach Saed Ramovic
Siamini kama Al Hilal walituzidi sana naona mechi ngumu ni ya mc Alger tena akiwa anatafuta point i
 
Swali mtambuka hilo👆😅🤣
Mahesabu ya Yanga kwa kifupi wanatoka, Mc Alger na Al Hilal watachukua tu point kwa Mazembe, Yanga hawezi kumfunga Al Hilala ugenini na pia anaweza asimfunge MC Alger hapa nyumbani,na pia unaweza ukashanga wakatoka sare na hao hao Mazembe hapa nyumbani.
 
Mechi ya Al Hilal tukicheza ilikuwa mechi ya kwanza ya coach Saed Ramovic
Siamini kama Al Hilal walituzidi sana naona mechi ngumu ni ya mc Alger tena akiwa anatafuta point i
Ulisema mechi zijazo mtakuwa fiti pia kuna nafasi mnaweza kusajili,je hao hawatafanya usajili na wanakoelekea hawatakuwa na fitness? Tatizo hamtaki kukubali kwamba timu yenu ni mbovu,mechi 3 point 1 na upo mkiani bado mnawaza kumfunga Al hilal ugenini,hata hizo za nyumbani zinaweza kuota mbawa
 
Huu ni mpira
Madrid anaanzaga UEFA anachechemea lakini mwisho ndo anakuwa bingwa
Subiri mechi zimalizike
 
Mahesabu ya Yanga kwa kifupi wanatoka, Mc Alger na Al Hilal watachukua tu point kwa Mazembe, Yanga hawezi kumfunga Al Hilala ugenini na pia anaweza asimfunge MC Alger hapa nyumbani,na pia unaweza ukashanga wakatoka sare na hao hao Mazembe hapa nyumbani.
Punguza uchawi
 
Back
Top Bottom