Ni aibu kwa Yanga kufungwa bao moja na Kengold.
 
Mnyama wa msimu huu huwa anardhika. Zikizidi sana tano, unless wawe wazembe mno.
Fadilu ajifunze mwisho wa siku bingwa anaweza kuamriwa kwa idadi ya magoli, yeye akiongoza anafanya sub ya kuingiza kina Mzamiru ili apooze gemu.
 
Fadilu ajifunze mwisho wa siku bingwa anaweza kuamriwa kwa idadi ya magoli, yeye akiongoza anafanya sub ya kuingiza kina Mzamiru ili apooze gemu.
Mkuu upo sawa ila ubingwa wa ligi hakilisha unashinda hata ushindi mwembamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…