Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kumbe wamepigwaYanga wanachukua walimu wa madrasa waje wa-coach time yao... Acha wapigwe tu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wamepigwaYanga wanachukua walimu wa madrasa waje wa-coach time yao... Acha wapigwe tu..
Kwa hiyo ni 6-6 auHahahaaa kipa kapigwa katikati ya uwanja
Na mnaongoza ligi si ndiyo!?TUmeshinda mchezo
NDio ndioNa mnaongoza ligi si ndiyo!?
Sawa mkuu wa mbu watatuAnafungwa Madrid 😀
Nyie kina KANJUNJU JOHN
Mnapiga Bomu mochwari 💣 THEN mnajisifu mmeua.
🏃🏃🏃🏃
Mwathibuuu 😃😃😃😃😃Mimi ni Yanga ila kusema kweli hii ni tumepiga bomu mochwari au kaburini kabisa
Atakayemaliza ligi kileleni ndio babaMama anakenua meno baba hajaja so ni kiongozi leo
Baba huwa haongozi kwa masaa 24...Atakayemaliza ligi kileleni ndio baba
Kwa muda gani?NDio ndio
Acha kukaza fuvuBaba huwa haongozi kwa masaa 24...
Mark my words
Kabeeesaaaa. 🤣🤣Hata ukitufunga tunakupa hela
Tupo hapa unahesabu mpya kutoka bodi ya wahasibu ?Yanga wenyewe wako wapi
Uongozi wa 24hrs ni kwa mama pekee.Acha kukaza fuvu