Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,122
- 4,699
Dube kakosa goli zote hizo anakuwaje mchezaji bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini yanga wasimpatie demu kama azizi mobetonarudia tena. Dube aache punyeto
Ndio wataua kabisakwanini yanga wasimpatie demu kama azizi mobeto
lakichawi..🤣hili goli la kengold ni balaa
Mnaongoza ligi ni kweli hamnaga baya 😂😂Hatuna baya mashabiki wa Timu ya Wananchi.
dube asajiliwe na kengoldKwenye striker ni bora tukaenda na Mzize kuliko huyu Dube.
Mzize hata asipofunga kuna vitu vingi vya ziada anaofa kuliko huyu Dube.
Dube ni wa kuachana nae tu.
Duuu!! Punyeto tena 😂😂😂kwanini yanga wasimpatie demu kama azizi mobeto
goli ilipigwa ndefu kama mkojo wa gorofani kila mtu kabaki kuduwaaKen Gold bonge la goli
Kabisa huyu ni mchezaji wa mid teams.dube asajiliwe na kengold
Rekodi mpya hamnaga timu inaongoza ligi kwa masaa 24 isipokuwa 🐸🐸Rekodi mpya akuna timu iliyofunga goli 6 mpaka sasa ligi kuu
hii ndo habari sasa siyo magoli ya papatu papatu kina mzizeGoli la KEN ni noma 🤣🤣
haya matone ya damu ni yanini kwenye shuka jeupeHatuna baya mashabiki wa Timu ya Wananchi.
Hatuna baya mashabiki wa Timu ya Wananchi.
Rekodi mpya akuna timu iliyofunga goli 6 mpaka sasa ligi kuu
Mi namtabiria makubwa next season...Dube msimu ukiisha atupishe tu