FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025
1738767242892.png
 
Kocha akumbushwe AUCHO hatakiwi KUTOKa Labda awe Ameumua nahisi kajionea dakika ya 70+
 
awaambia Dube ni mnakataa hadi mech kama hii anakosa

Angerudisha kwa chama alikua ashafungua
Yanj kosa la Dube pale ni kutaka kumalizia bila utulivu angetulia angefunga kama la pacome ama angerudisha kwa Chama
Na hio sifa sio kila mchezaji anayo...
 
Back
Top Bottom