FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025
Hawa wajinga wangekuwa wanacheza na mnyama, wangeahidiwa milioni 50 ungeona jinsi wanavyokomaa. Lakini sasa utopolo mtupu.
 
🐸🐸Mpo kileleni sasa hahahaaa, mtakaa hapo kwa masaa 24 kama status ya whatsapp then mnyama atawafurusha mrudi kwenye kanafasi kenu pendwa 😂😂
Baba akitoka nyumbani kiongozi anakua mama akirudi anakaa kwenye nafasi yake
 
Kuna straika kapewa hirizi ya kucheza kila mechi hapigwi sub ila ubaya wa hii dawa miguu inakosa nguvu
 
Hawa wajinga wangekuwa wanacheza na mnyama, wangeahidiwa milioni 50 ungeona jinsi wanavyokomaa. Lakini sasa utopolo mtupu.
Mnyama wa msimu huu huwa anardhika. Zikizidi sana tano, unless wawe wazembe mno.
 
Back
Top Bottom