Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Uto anajipigia tu huko kaokota dodo chini ya mwembe
Watashangilia sana kama wamewafunga al hilali au mc alger au tabora united lakini.....wameifunga timu zolfu hali...timu iliyosajili kelvin yondan mfanyabiashara na muuza duka kitambo jijini dar es salaam na mikoani...mpaka biashara itakuwa imekwisha NBC ligi ni nyepesi kwao ni utelezi mtihani wakifika huko wanakwama tu....!