FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025
Yani ligi ilianza bwana timu zote ziliendaga likizo kufanya mazoezi ya kuizuia Yanga mana Gamond walishamsoma... na ndo mana mimi ntaendelea kuamini Gamond hakupaswa kuendelea kuwa kocha Yanga tungekua tunateseka mpaka leo... acha tubadili makocha usiku na mchana na ubingwa tusiupate potelea pote ila atleast tunajaribu kujiweka sawa
ubingwa tutaupata Simba tunamkung'uta
 
Watashangilia sana kama wamewafunga al hilali au mc alger au tabora united lakini.....wameifunga timu zolfu hali...timu iliyosajili kelvin yondan mfanyabiashara na muuza duka kitambo jijini dar es salaam na mikoani...mpaka biashara itakuwa imekwisha NBC ligi ni nyepesi kwao ni utelezi mtihani wakifika huko wanakwama tu....!
Sasa ndio mfungwe mara nne?
 
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.

Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na kuruhusu magoli 6 wakiwa wamejikusanyia alama 42.

Ken Gold wanaingia wakiwa katika nafasi ya 16 wakiwa wamecheza michezo 16 wakishinda mchezo 1 sare 3 na wamepoteza michezo 13 huku wakifunga magoli 11 na kufungwa magoli 29 wakiwa na alama 6.

Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 3226134
View attachment 3226080
Muda wowote kipute kitaanza wachezaji wapo uwanjani.

Dk3 Goaaaal Prince Cube anawafungia Wananchi bolo LA kuongoza.

Dk6 Gooaaal Clement Mzize anawafungia wananchi goli LA pili.

Dk ya 27 matokeo back ni 2-0 na Yanga wanacheza mpira wa kuvutia hapa.

Dk39 Pacome anawafungia wananchi goli LA 3.

Goooaaaaaaal Mzize Anafunga goli LA nne.

HT: Young Africans 4 vs 0 Kengold.
Kono la Nyani aka Juliana.
 
Watashangilia sana kama wamewafunga al hilali au mc alger au tabora united lakini.....wameifunga timu zolfu hali...timu iliyosajili kelvin yondan mfanyabiashara na muuza duka kitambo jijini dar es salaam na mikoani...mpaka biashara itakuwa imekwisha NBC ligi ni nyepesi kwao ni utelezi mtihani wakifika huko wanakwama tu....!
Mfa maji hakosi kutapatapa.tusipofunga shida,tukifunga mengi shida na tukifunga machache matatizo.
 
Back
Top Bottom