FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025
 
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.

Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na kuruhusu magoli 6 wakiwa wamejikusanyia alama 42.

Ken Gold wanaingia wakiwa katika nafasi ya 16 wakiwa wamecheza michezo 16 wakishinda mchezo 1 sare 3 na wamepoteza michezo 13 huku wakifunga magoli 11 na kufungwa magoli 29 wakiwa na alama 6.

Vikosi vinavyoanza leo.View attachment 3226134
View attachment 3226080
Muda wowote kipute kitaanza wachezaji wapo uwanjani.
Update?
 
Wale hata 10 tu fresh! Za kumuaga German na kumkaribisha mugeni
 
Dk ya 14 Yanga wametawala mchezo Kengold wajiangalie wanaweza wakapigwa 10 mp aka Sara matokeo no Wananchi 2vs 0 Kengold.
 
Saa hizi ni gusa,achia tubaki huko huko watatapika damu welcome Hamoud
 
Hii ni sawa mtu wa form six kufurahi kupata swali la hisabati la 2x2=?

Hizi juhudi wangezionesha siku ile na MC Alger.

Aliyekufa kauawa tena😄😃😀😆
 
Back
Top Bottom