Hv huyu kocha wa Antlanta timu kubwa hazimuoni au?
Hii timu typically inabebwa na uwezo wa mbinu za huyu kocha...!!
Madrid wanakosa mtu wa kupiga penetration passes zile za kama Ton kroos...pengo lake linaonekana kbsa....valderve na Tsuamen hawana uwezo wa kupiga hizo pass...hapo ndipo umuhimu wa Modric unakuja..
Mbape siku zote makali yake hayaonekani akicheza mshambuliaji wa kati..anakosa ule uhuru wa kutokea pembeni na kuingia ndan na mpira ambapo ndo anakuwa hatari sana!!
All in all atlanta wamekuwa na gemu nzuri sana!! Sikutegemea