Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
41’ Vini Jr anaonyeshwa kadi ya njano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Download Yaccine tv....iko bomba sanaMwenye link au app nzuri ya kuangalia hii gemu naomba aweke hap
livesports 808 hio live bila chengaMwenye link au app nzuri ya kuangalia hii gemu naomba aweke hap
na hivo ndivo walivo wafunga bayern leverkusen huyo kocha wao ni pressing master hapo kati bila creative midfielder caliber ya modric or arder guler kule mbele diaz anahitajika bila hivo Madrid kwa mfumo wao huu wa 4-3-3 kazi inaweza kuwa ngumu isitoshe wana offensive players wengi zaidi wa mixed balancedAtalanta wanajua kufanya pressing aisee, wanawalazimisha Real wafanye makosa.
Hv huyu kocha wa Antlanta timu kubwa hazimuoni au?
Hii timu typically inabebwa na uwezo wa mbinu za huyu kocha...!!
Madrid wanakosa mtu wa kupiga penetration passes zile za kama Ton kroos...pengo lake linaonekana kbsa....valderve na Tsuamen hawana uwezo wa kupiga hizo pass...hapo ndipo umuhimu wa Modric unakuja..
Mbape siku zote makali yake hayaonekani akicheza mshambuliaji wa kati..anakosa ule uhuru wa kutokea pembeni na kuingia ndan na mpira ambapo ndo anakuwa hatari sana!!
All in all atlanta wamekuwa na gemu nzuri sana!! Si
hapo anceloti ajaribu kumpeleka mbappe wide ingiza brahim toa rodrygo ingiza modric to Bellingham badili mfumo uwe 4-4-2 unarotate kwenye 4_2_3_1 then tutaona kama hata surrenderHv huyu kocha wa Antlanta timu kubwa hazimuoni au?
Hii timu typically inabebwa na uwezo wa mbinu za huyu kocha...!!
Madrid wanakosa mtu wa kupiga penetration passes zile za kama Ton kroos...pengo lake linaonekana kbsa....valderve na Tsuamen hawana uwezo wa kupiga hizo pass...hapo ndipo umuhimu wa Modric unakuja..
Mbape siku zote makali yake hayaonekani akicheza mshambuliaji wa kati..anakosa ule uhuru wa kutokea pembeni na kuingia ndan na mpira ambapo ndo anakuwa hatari sana!!
All in all atlanta wamekuwa na gemu nzuri sana!! Sikutegemea
Hii game ushindi upo kwa yoyote!! Madrid akitumia uzoefu wake wanaweza wakashindaGreatest Of All Time unaonaje mkuu Madrid wanashinda?
Real Madrid 1-0 AtalantaKimasihala masihala Madrid anaweza kosa Kombe.