Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Hawa jamaa washalegea, kifuatacho ITV ni kututolea mugalu, aingie kagere.
 
Hawa kaizer chiefs wanazingua
Wasipo badirika kipindi cha pili watapoteza hii game
 
Hii hata tusiposhinda hawa kaiza chifu lazima waikumbuke tuu.mamamaae zao
 
Back
Top Bottom