Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Mugalu auzwe tu....mzito kama nini....Simba haina mshabuliaji kabisa
Kabisa mkuu,hii game ni ya simba leo..watajilaumu sana.wamecheza vizuri,wametengeneza nafasi nyingi za wazi..lakini washambuliaji wameshindwa kuzitumia
 
Goli nne tunapachika kipimdi hiki cha pili

Termination round
 
Simba naona wameanza kupata furaha.

Nawakumbusha tu aggregate score 1-4
IMG_20210522_151253.jpg


Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Game ilibidi iwe angalau 3-0 mpaka saivi..huu ni ujinga..tusitegemee goli tatu 2nd half kwa hawa straika wetu
 
Camera imepita Benchi la yanga wameonesha mashabiki wa yanga wamevaa jezi za yanga wakishangilia pamoja na kaizer chief

Mtangazaji bwana eti "Kaizer chief wakiwa na wake zao"
 
Still Simba wana nafasi wanacheza vzr na wanacreate chances kibao sema uchoyo Wao.
 
Back
Top Bottom