Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Haya tayari la tatu ...Bado moja tuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Eee Mwenyezi Mungu atlist bado moja, Simba ni wanaume wa kweli nchi hii, hii hata utopolo hawakutegemea, hawa Kaizer ni wepesi kama pamba tuliwalea tu wenyewe
 
Back
Top Bottom