Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Wasengesi wale hawana mpira wowote yani ni mataputapu halafu watu wananunua jezi zao..tena mtanzania unanunua jezi ya kaizer, hata mizimu ya mababu itakulaani, Na yanga wamekaa majukwaani wanashangilia ***** wanaume ndio sisi wanaume ndio simba
Mpira wa Africa unafafana ni mpira wa mbinu tu hata hakuna kingine.
 
Hii game ya leo simba ilikuwa yenu kabisa!

Magoli 3 si mchezo,

Kosa mlilofanya ni kuruhusu magoli mengi kule kwao. Ugenini inatakiwa usiruhusu magoli zaidi ya 2
 
Al ahly ni bingwa, hilo halina ubishi mkuu.
 
Wasengesi wale hawana mpira wowote yani ni mataputapu halafu watu wananunua jezi zao..tena mtanzania unanunua jezi ya kaizer, hata mizimu ya mababu itakulaani, Na yanga wamekaa majukwaani wanashangilia ***** wanaume ndio sisi wanaume ndio simba
Kama hawana mpira mmesonga mbele?
 
Kaiser hawana uwezo kivile ni vile tu walituwahi mechi ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…