Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Simba ni wazuri Sana tu. Tutaonana mwakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaelewa....inauma na kutia hasira sana
Mpira wa Africa unafafana ni mpira wa mbinu tu hata hakuna kingine.Wasengesi wale hawana mpira wowote yani ni mataputapu halafu watu wananunua jezi zao..tena mtanzania unanunua jezi ya kaizer, hata mizimu ya mababu itakulaani, Na yanga wamekaa majukwaani wanashangilia ***** wanaume ndio sisi wanaume ndio simba
Sisi tukisema tunaonekana hatumpendi, utasikia "Mugalu ni Mshambuliaji mkabaji"Magalu auzwe,aachwe au atolewe kwa mkopo atuondokee.
daah [emoji23]Yaani mwenyewe nimepumzika huku chumbani, huko nje Sister anapiga mikelele kishenzi kushangilia "ushindi"!!
Al ahly ni bingwa, hilo halina ubishi mkuu.Simba walifanya makosa makubwa 2,,kwanza kuruhusu kufungwa goli nyingi South Africa afu nakutoka bila hata goli 1 la ugenini
Kosa hilo lilisababishwa na kujiamini kulikopitiloza na wachezaji na kocha wao kushindwa kufanya pressing ya nguvu kama walivyofanya leo.
Kosa la pili wamefanya kipindi cha kwanza kwa kupoteza nafasi nyingi Sana walizotengeneza na hivyo kuwa na mzigo mkubwa Sana wa kupanda.
Anyway wametoka kwa heshima,ni kukipanga kwa msimu ujao hasa upande wa beki na washambuliaji wenye akili za kufunga.
Nitoe pongezi in advance kwa Al Ahly ambao bila shaka watakuwa mabingwa msimu huu maana kwenye mashindano haya timu pekee zilizopewa nafasi ya kufika mbali ilikuwa Mamelodi na Simba na tayari zimeaga mashindano.
Dah mpira huu,Ila tumekufa kishujaa.
Simba nguvu moja[emoji123]
Hampandi tena ndegeMnaanza kulialia tayari 3 huko
Kuna wapuuzi wanasemaga "ana footwork nye nye nyee" m'mae zaooSisi tukisema tunaonekana hatumpendi, utasikia "Mugalu ni Mshambuliaji mkabaji"
Kama hawana mpira mmesonga mbele?Wasengesi wale hawana mpira wowote yani ni mataputapu halafu watu wananunua jezi zao..tena mtanzania unanunua jezi ya kaizer, hata mizimu ya mababu itakulaani, Na yanga wamekaa majukwaani wanashangilia ***** wanaume ndio sisi wanaume ndio simba
Khanithi b'bako pichu weweHaya ndio mambo ya kikhanithi.. Utasiki "TUMEKUFA KIUME"
Mimi ni Jangwani zile kosa kosa za mwanzo Kagele angekuwepo lazima mngeshindaUkundu wa Mugalu umetucost
Mpaka mmefikia hatua hii ni kwa nguvu ya mbeleko ya chumaItakuwa leo umesahau kumeza dawa