Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Simba sub zimeisha sasa ni kupambana tu, Mungu asaidie asiumie mwingine.
 
Mambo yakiendelea kuwa hivi, tutaungana na wenzetu Mamelod kusubiria msimu ujao maana hata kwao kimeumana[emoji28].
 
Naona jamaa wameamua kucheza mpira wa kujiangusha, Wana Simba Sc wenzangu kazi tunayo leo.
 
Simba sub zimeisha sasa ni kupambana tu, Mungu asaidie asiumie mwingine.
Mkuu, unajua kweli idadi ya sub kwenye michuano ya CAF kipindi hiki cha CoVid19? Usichanganye kanuni za mashindano mbalimbali ukadhani zinalingana. Si umeona hata kwenye bench wapo wachezaji tisa?
 
Ujinga tupu... Timu inakosa nafasi za wazi kabisaaaa. Ingawa mm ni YANGA ila inaumiza mchezaji kukosa nafasi ambayo hata angepasia mwenzake angefunga. Sijui UCHOYO wa nini pale
 
Mkuu, unajua kweli idadi ya sub kwenye michuano ya CAF kipindi hiki cha CoVid19? Usichanganye kanuni za mashindano mbalimbali ukadhani zinalingana
Owkey, nimekumbuka akili ilishahama mkuu.
 
Ujinga tupu... Timu inakosa nafasi za wazi kabisaaaa. Ingawa mm ni YANGA ila inaumiza mchezaji kukosa nafasi ambayo hata angepasia mwenzake angefunga. Sijui UCHOYO wa nini pale
Kweli
Morison kazingua
 
Wananza kuiba mataulo .....utterly shameful [emoji1][emoji58]
 
Back
Top Bottom