Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Hawa simba Mipira ya juu haiwasaidii na bado wanatumia tu
 
Simba mlifungwa goli nyingi sana kama mpira wa basketball daa! Tunazisubili goli za kufukia 4G
 
Kwa nafasi ilizopata Simba Sc, sasahivi ilitakiwa kuwa mbele kea bao 2 au 3 ila kukosa umakini kwa wachexaji wetu itatucost leo.
 
Inabidi wachezaji wajifunze, umakini katika game muhimu. Hutakiwa kupoteza nafasi kizembe isipokuwa kipa ndo apewe sifa tu.
 
Back
Top Bottom