Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia mkuu, acha mbwembweMeza inawapindukia aisee!
SawaPiga hao
Akina nani wapigwe?Piga hao
Nimesikia kelele mapema tu, kuna nini kinaendelea huko?Mwanzo mzuri
Bado jamaa wanaonekana kuwa na madhara makubwa wanaposhika mpira kuelekea kwenye lango la Simba,ambao wamekuwa wakipiga pasi nyingi zisizo na madhara. Kuna goli linanukia hapa.Hapa hakuna kitu hii ndio timu iliokuwa inasema itafanya comeback, mungu asaidie leo tupigwe hata tatu tu, tusije kuaibika
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Goli nne zilikuwa ni nyingi sana, mtalaumu bure tu.Forward za Simba ni Zero,hii Simba gani??