Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia hivo hivo uone acha paparaKwa line-up hii tutapindua meza kweli.. [emoji848]
Sidhani, ngija tuone.
Sasa na wale wababu wenu akina Onyango kule nyuma mkipigwa Counter Attack, si mtapigwa mkono nyinyi!! Halafu mtuletee tu fedheha!Leo Simba hatuna cha kupoteza hivyo tutajitoa kupambana bila woga wowote hatuwezi kukaa nyuma kulinda kwasababu haina faida yoyote kwetu hapa ni kushambulia tu na si kingine.
Mbona saa kumi inachelewa aisee watu wakapigwe vitu vizito kichwani tena!
Utopolo tulieni tupindue mezaSubiri kupigwa na kitu kizito kichwani tena leo hapo hapo kwa mkapa.
Jamani wangoni tutambuaeni,leo tuna rudi kwenye asili yetu 😎😎😎.Naaaaaaam Barabara kabisa...
Karibuni wapendwa wanamichezo katika mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Kaizer chiefs ya Afrika Kusini, mechi hii ni ya mkondo wa pili baada ya ile ya kwanza kuchezwa Afrika kusini jumamosi iliopita 15/5/2021 ambapo Matokeo yalikuwa Kaizer chiefs 4 Simba 0, Kimahesabu Simba ili afuzu anatakiwa ashinde goal 5 bila ili afuzu
Muda wa mechi ni Saa 10 jioni kwa saa za Tanzania na saa 9 alasiri kwa Saa za Africa kusini.. Dimba ni pale "Kwa Mkapa Taifa"
Je Simba atapindua meza kibabe? Au Kaizer Chiefs watafanya Remix tena na kusonga mbele? Au ngoma itakuwa droo?
*Uzi huu utakuwa updated (Utahuishwa) kadiri muda unavyoenda na matukio yanayotokea
Updates:i)COVID 19 PROTOCOLS Mashabiki wameambiwa ni lazima kuingia na Barakoa, pia kuwe na Social distancing kukaa kwenye viti nafasi wazi ya viti vitatu iachwe, wakati huohuo wameambiwa wawahi tiketi mapema kuepusha usumbufu
Idadi ya mashabiki ni 10,000 tu ndio walioruhusiwa
ii) Televisheni za kuonesha mpira huu
ZBC 2 kupitia kisimbuzi/king'amuzi cha Azam Tv
KBC TV kupitia kisimbuzi cha DSTV channel namba 270
VIKOSI VYA TIMU ZOTE/ Starting XI/Lineups
Simba SC
1. Manula Aishi
2. Kapombe Shomari
3. Hussein Mohamed Zimbwe Jr
4. Onyango Joash
5. Wawa Paschal Sergi
6. Lwanga Thadeo
7. Chama Cleotus
8. Mzamiru Yasin
9. Bocco John (Captain)
10. Mugalu Kope Chris
11. Miquissone Luis
Reserve/Sub: B.Kakolanya E. Nyoni, Kennedy J., S.Ndemla, B.Morisson, A.Miraji, M.Kagere, R.Bwalya Kahata F.
Head Coach: Didier Gomes DaRosa
KAIZER CHIEFS Starting XI/Lineup
Kaizer Chiefs [emoji1221] lineup:
1.Bruce Bvuma (GK) [emoji1221]
2.Siyabonga Ngezana [emoji1221]
3.Daniel Cardoso [emoji1221]
4.Erick Mathoho [emoji1221]
5.Philani Zulu [emoji1221]
6.Njabulo Blom [emoji1221]
7.Reeve Frosler [emoji1221]
8.Lebogang Manyama [emoji1221]
9.Bernard Parker [emoji1221] (C)
10.Samir Nurkovic [emoji1217]
11.Leonardo Castro [emoji1075]
#TotalCAFCL #SSCKCFC
SUBs: Akpeyi, Mphahlele, Agay, Baccus, Kambole, Katsande, Ngcobo, Mashiane, Sasman
Head Coach: Gavin Hunt
-----------------------------------------------------------------------------------------------
*FOR ENGLISH AUDIENCE, THIS IS A SHORT PREVIEW
CAF CHAMPIONS LEAGUE, QUARTER FINAL SECOND LEG
SIMBA VS. KAIZER CHIEFS
The battle to secure a spot in the last four of Africa's premier club competition resumes between Amakhosi and the Reds of Msimbazi
Kaizer Chiefs will be looking to complete their march into the Caf Champions League semi-finals while Simba SC are keen to perform a big comeback when the two sides meet in a quarter-final, second leg match at Benjamin Mkapa National Stadium on Saturday.
Following Chiefs 4-0 victory in the first leg seven days ago, they carry a huge advantage going into this clash in Dar es Salaam.
But Simba have previously overturned a 4-0 deficit in this competition and would be confident of doing that again.
Chiefs are seeking to continue making history in this competition by getting into the semi-finals for the first time ever while Simba reached the last four of the 1974 edition when the tournament was still known as the African Cup of Champions Clubs.
Game Simba SC vs Kaizer Chiefs
Date Saturday, May 22-2021
Time 15:00 SA Time
TV Channel, Live Score & How To Watch
Online StreamingTV Channelhttps://www.facebook.com/CAFCLCC
Squads & Team News
Simba will be without midfielder Jonas Mkude who has been given permission by coach Didier Gomes Da Rosa to deal with private matters.
No Simba player is suspended for Saturday's match. Da Rosa would be banking on the likes of Cletous Chama, John Bocco, Erasto Nyoni, Luis Miquissone and veteran attacker Medie Kagere to lead a huge comeback.
Amakhosi welcome back goalkeeper Itumeleng Khune who has recovered from a shoulder injury which saw him miss the last four matches across all competitions.
Khune's return completes their goalkeeping department which was hit by injuries in recent games.
The Soweto giants traveled to Tanzania without Dumisani Zuma who was injured in the first leg against Simba.
He lasted 35 minutes of the match at FNB Stadium and was replaced by Leonardo Castro who went on to score one of Chiefs' four goals.
Zimbabwean attacker Khama Billiat remains out injured with a fractured leg which could see him fail to recover before the end of the season.
Match Preview
It will be the first time for Chiefs to play a match inside a stadium with fans since March 2020.
That makes Simba bank on their supporters to create an intimidating atmosphere which could contribute to Chiefs crumbling.
The Tanzanians have not lost at home in the Champions League this season and they have put to the sword the likes of Al Ahly and AS Vita at Benjamin Mkapa.
In five games they have played in Dar es Salaam since the preliminary round this term, Simba have scored 12 goals and conceded just once.
On two occasions, they scored four goals when they beat Zimbabwean champions FC Platinum 4-0, before thrashing AS Vita 4-1 and those results might be worrisome for Chiefs.
That could give Simba confidence of a successful comeback as they need to win 4-0 and force the contest into a penalty shootout, or a 5-0 victory.
They have previously overturned a 4-0 defeat in this competition and it still stands as a 42-year comeback record in the Champions League.
The Reds of Msimbazi lost 4-0 away at Mufulira Wanderers in Zambia in the 1979 first round, first leg but turned the tables with a 5-0 victory in the home leg to progress to the second round.
Chiefs will be trying to avoid this as they return to East Africa to play a Champions League match for the first time since 1993.
Article continues below
The last time they were in this part of the continent in this competition was when they visited Rwandan club Kiyovu Sports in Kigali in March 1993.
----------------------------------------------------------------------------------------------
Kuwa nami kuanzia mwanzo mpaka mwishoView attachment 1793902View attachment 1793903
Wewe usiye leta fedhaha uko wapi na unacheza lini robo fainal yako?Sasa na wale wababu wenu akina Onyango kule nyuma mkipigwa Counter Attack, si mtapigwa mkono nyinyi!! Halafu mtuletee tu fedheha!
Leo hatuna presha tupo tayari kwa matokeo yoyoteAcha inyeshe tuine panapo vuja
Hapo mbona rahisi sana goal saba zenu mnazipata[emoji23]Kwa line-up hii tutapindua meza kweli.. [emoji848]
Sidhani, ngija tuone.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo mbona rahisi sana goal saba zenu mnazipata[emoji23]
Badala ya kupindua meza, meza inawapindukia wenyewe!
Meza inawapindukia si kupindua!Simba SC wakiwasili Uwanjani kwa mechi dhidi ya Kaizer Chiefs
Hiyo Simba SC wawakilishi wa Tanzania ktk mashindano ya CAF Champion league, safari hii Simba inaingia uwanjani kwa wakati muafaka kabisa kupindua matokeo, huku historia ikiwabeba kwa kazi hiyo mashabiki wa mtaa wa Msimbazi makao makuu ya Klabu ya Simba wanakumbushia.
Meza inawapindukia aisee!Utopolo tulieni tupindue meza
Tulia mzeeHapo mbona rahisi sana goal saba zenu mnazipata[emoji23]
Badala ya kupindua meza, meza inawapindukia wenyewe!