Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

ngapi huko wadau Mimi kutokana na Moyo kwenda Kasi nimeshindwa kutazama game live.
 
Kizer wamepanic wamefunguka, na wameacha mchezo wao wa kupoteza muda, hii ni advantage kwa Simba.

Watulie wacheze mpira, angalau waongeze goli 2 nyingine.
 
Back
Top Bottom