denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Tulitakiwa kuondoka atlist na goli mbili first halfUle uzembe tutajutia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulitakiwa kuondoka atlist na goli mbili first halfUle uzembe tutajutia sana
Labda wewe sio shabiki wa mpira mkuu.I wish ningeweza kuinjoi mpira kama nyie..
inauma na kutia hasira sana
Yani hata kule South tulipigwa kwa upumbavu wetu huuhuu, kimsingi Kizer hana mpira wa maana.Tumefanya upuuzi wa hali ya juu ..haya ndo matunda yake ...poor us