Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 896
Yule sio mchezaji hapaswi kuendelea kuwepo simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule sio mchezaji hapaswi kuendelea kuwepo simba
Uzuri ni kwamba, Simba kushinda 3-0 pale kwa Mkapa sio story, na kutandikwa 4-0 nje ya Mkapa pia sio story!! That being said, it's the same Simba tunayoifahamu miaka yote, kwahiyo MSIJISAHAULISHE!!Hii game ya leo simba ilikuwa yenu kabisa!
Magoli 3 si mchezo,
Kosa mlilofanya ni kuruhusu magoli mengi kule kwao. Ugenini inatakiwa usiruhusu magoli zaidi ya 2
Ndio shida ya haya mambo, bahati nzuri yanapita km upepo, ila kwa leo vumilia tuYaani mwenyewe nimepumzika huku chumbani, huko nje Sister anapiga mikelele kishenzi kushangilia "ushindi"!!
🤣🤣 unataka uwapangie matumizi ya pesa zao.Wasengesi wale hawana mpira wowote yani ni mataputapu halafu watu wananunua jezi zao..tena mtanzania unanunua jezi ya kaizer, hata mizimu ya mababu itakulaani, Na yanga wamekaa majukwaani wanashangilia ***** wanaume ndio sisi wanaume ndio simba
Kaizer wame advance kwa uzembe wa Simba lakini pia kwa bahati ambayo wamekuwa nayo toka walivyoanza mashindano hayaAl ahly ni bingwa, hilo halina ubishi mkuu.
Wewe unataka kuturudisha enzi za Tambwe ili tusote tena kupata fowadi mwingine mimi naona wamuache kwanza azoee mazingira pale SimbaMagalu auzwe,aachwe au atolewe kwa mkopo atuondokee.
Game ilikuwa yetu no matter what happened kwao, first half zilikuwepo goli tatu pale, zile nafasi ya Bocco uchoyo wa pasi, na Morrison ni magoli ya wazi yaleHii game ya leo simba ilikuwa yenu kabisa!
Magoli 3 si mchezo,
Kosa mlilofanya ni kuruhusu magoli mengi kule kwao. Ugenini inatakiwa usiruhusu magoli zaidi ya 2
Tatizo Sister anajua mnaenda hatua inayofuata....Ndio shida ya haya mambo, bahati nzuri yanapita km upepo, ila kwa leo vumilia tu
Katika maisha hangu ya soka kuumia kama hivi imetokea mara chache mnoo haswa ni arsenal kufungwa fainali 2006 ya uefa na barca, ufaransa kufumgwa na Italy world cup 2006..Dah, nami nahamia huko huko mkuu, ila naamini Suarez atawapa kombe, saa moja inakaribia.
Sijui kwanini kacheza dakika zote 90 (Mugalu)Mugalu naumia sana mimi haya bana.
Mkuu mimi huwa sipo upande wa Mugalu,na kelelezangu ilikua ni tatizo la Mugalu kukosa magoli ya wazi hata matatu au zaidi,wenye Mugalu wao wanamtetea wanasema eti anazuia mabeki wasipande,sasa srticker gani akipata nafasi afungi alafu anakua mahili wa kuzuia mabeki wasipande?Sisi tukisema tunaonekana hatumpendi, utasikia "Mugalu ni Mshambuliaji mkabaji"
Hata wanaobakwa wanabana lkn wanaachia na mpumbu unazamishwa mkuu.. hivyo mmezamishwa hogo la jang'ombe hakuna cha kufa kishujaa.Hata tukitolewa tumekufa kishujaa
Mimi nakataa kumbuka yeye ndio fowadi pekee ambaye bado ana nguvu na ametumika kwa mchache sana pale Simba ndio sababu naona abaki tuYule sio mchezaji hapaswi kuendelea kuwepo simba