Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Hii game ya leo simba ilikuwa yenu kabisa!

Magoli 3 si mchezo,

Kosa mlilofanya ni kuruhusu magoli mengi kule kwao. Ugenini inatakiwa usiruhusu magoli zaidi ya 2
Uzuri ni kwamba, Simba kushinda 3-0 pale kwa Mkapa sio story, na kutandikwa 4-0 nje ya Mkapa pia sio story!! That being said, it's the same Simba tunayoifahamu miaka yote, kwahiyo MSIJISAHAULISHE!!
 
Yaani mwenyewe nimepumzika huku chumbani, huko nje Sister anapiga mikelele kishenzi kushangilia "ushindi"!!
Ndio shida ya haya mambo, bahati nzuri yanapita km upepo, ila kwa leo vumilia tu
 
Wasengesi wale hawana mpira wowote yani ni mataputapu halafu watu wananunua jezi zao..tena mtanzania unanunua jezi ya kaizer, hata mizimu ya mababu itakulaani, Na yanga wamekaa majukwaani wanashangilia ***** wanaume ndio sisi wanaume ndio simba
🤣🤣 unataka uwapangie matumizi ya pesa zao.

Waache wanunue tu hizo jezi
 
Congrats to the lads.. what a game..what a performance.

Kwa Mkapa panaendelea kubaki moja ya viwanja vigumu sana afrika kwa wageni kupata ushindi.

Pamoja hii game ilikuwa yetu kabisa,sema kama wachezaji walichoka ama kujisahau katika kutafuta idadi ya magoli.



Binafsi nampongeza kila mmoja, hakika Simba inaendelea kuweka bars..
 
Hii game ya leo simba ilikuwa yenu kabisa!

Magoli 3 si mchezo,

Kosa mlilofanya ni kuruhusu magoli mengi kule kwao. Ugenini inatakiwa usiruhusu magoli zaidi ya 2
Game ilikuwa yetu no matter what happened kwao, first half zilikuwepo goli tatu pale, zile nafasi ya Bocco uchoyo wa pasi, na Morrison ni magoli ya wazi yale
 
22 MAY 2021
BENJAMIN MKAPA STADIUM
Dar es Salaam, Tanzania

SECOND LEG CAF CHAMPION LEAGUE MATCH FINAL RESULRTS

SIMBA SC 3 - 0 KAIZER CHIEFS

 
Dah, nami nahamia huko huko mkuu, ila naamini Suarez atawapa kombe, saa moja inakaribia.
Katika maisha hangu ya soka kuumia kama hivi imetokea mara chache mnoo haswa ni arsenal kufungwa fainali 2006 ya uefa na barca, ufaransa kufumgwa na Italy world cup 2006..

Kidoogo hapa katikati atletico kupoteza zile fainali za uefa mara 2 mbele ya real madrid.

Na leo hii, aisee leo imeniuma haswaa.. [emoji17]
 
Mugalu naumia sana mimi haya bana.
Sijui kwanini kacheza dakika zote 90 (Mugalu)

Sijui kwanini simba walicheza mipira mirefu, sijui kwakweli

Wamekosa nafasi nyingi za wazi wangeweza kufunga ata 6 bila

All in all wamejitahidi. Kipindi kingine tena Inshaallah
 
Bora wangetubana game tight tushinde 2-1 tungesema game ilikuwa ngumu, ila sio hii game iliyoishia, mpira wote tumecheza Simba, na nafasi zote tumepoteza Simba..
 
Sisi tukisema tunaonekana hatumpendi, utasikia "Mugalu ni Mshambuliaji mkabaji"
Mkuu mimi huwa sipo upande wa Mugalu,na kelelezangu ilikua ni tatizo la Mugalu kukosa magoli ya wazi hata matatu au zaidi,wenye Mugalu wao wanamtetea wanasema eti anazuia mabeki wasipande,sasa srticker gani akipata nafasi afungi alafu anakua mahili wa kuzuia mabeki wasipande?
 
Back
Top Bottom