Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Full time: Robo fainali Klabu Bingwa Afrika: Simba SC 3-0 Kaizer Chiefs | Benjamin Mkapa National Stadium - Mei 22, 2021

Ni aibu kwa mtanzania timu imebeba bendera ya tanzania unavaa jezi ya afrika kusini, nyie watoto wa mama mngekua mmeenda jeshini mngejua maana ya bendera ya tanzania. Simba mkubali na mkatae ni wanaume.
Waache wafurahie hiyo ndio furaha yao mkuu miaka mi3 hawajacheza hayo mashindano unategemea furaha watapata wapi na huku timu yao inacheza pira Hogo?
 
Katika maisha hangu ya soka kuumia kama hivi imetokea mara chache mnoo haswa ni arsenal kufungwa fainali 2006 ya uefa na barca, ufaransa kufumgwa na Italy world cup 2006..

Kidoogo hapa katikati atletico kupoteza zile fainali za uefa mara 2 mbele ya real madrid.

Na leo hii, aisee leo imeniuma haswaa.. [emoji17]
Umeumia kisa kuchaniwa mkeka na Simba Sc, au umeumia kwakuwa Simba haisongi mbele?? Mzee kide.
 
Ndege mbona tunapanda sana tu, hata michezo ya ligi kuu
Tunaendelea na VPL sasa
FB_IMG_16216875149162071.jpg
 
Sijui kwanini kacheza dakika zote 90 (Mugalu)
Kwa sababu alikuwa hajachoka na bado alikuwa anakipiga kwenye viwango halisi vya Simba na sio viwango vya Manara!
Sijui kwanini simba walicheza mipira mirefu, sijui kwakweli
Ndivyo walifundishwa na kocha ili Wazee wapate muda wa kupumzika angalau kwa sekunde kila inapopigwa majalo!! Mipira mifupi inahitaji kasi na kukimbia uwanjani... sasa yule Classmate wa Gavana Mike Sonko angeweza vipi hayo mambo?
Wamekosa nafasi nyingi za wazi wangeweza kufunga ata 6 bila
Basi tufanye 6-0, Aggregate 6-4! Unaonaje hapo?!
All in all wamejitahidi. Kipindi kingine tena Inshaallah
Hivi hakuna Best Loser kwenye haya mambo?!
 
Katika maisha hangu ya soka kuumia kama hivi imetokea mara chache mnoo haswa ni arsenal kufungwa fainali 2006 ya uefa na barca, ufaransa kufumgwa na Italy world cup 2006..

Kidoogo hapa katikati atletico kupoteza zile fainali za uefa mara 2 mbele ya real madrid.

Na leo hii, aisee leo imeniuma haswaa.. [emoji17]
Lehman anapewa red card baada ya kumuangusha Etoo then wajinga wanapewa na penati, it was bad and a curse to Arsenal FC, hawajaenda fainali nyingine ya UEFA tena!.

Game moja Atletico ameongoza 1-0 muda mrefu thn dkk za mwisho Real wanapata kona Ramos anapiga kichwa jamaa wanasawazisha, thn Atletico wakapoteana kbs, extra time wakafa 4 - 1, huu mpira tuupende tu ila ukatili wake...
 
Piga mbw.a haoooo,nje,sasa mrudi huku mtueleze kwann mliwaomba tff muda usogezwe mbele
 
Daah leo simba imeupiga kisnge yani kuna time nilikua namuona morisson kama yesu
[emoji23][emoji23][emoji23] dalili za kuchanganyikiwa hizi,kila mwaka maneno ni yaleyale tumetoka kiume
 
Back
Top Bottom