Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba apewe Ruvu Shooting halafu kichefuchefu upate wewe Utopolo. Je hiyo mimba ungepewa wewe Uto Saa hii si ungekuwa unatapika hadi nyongo?Goli nyingi za offside (zaidi ya goli 2)
Ruvu Ana agenda yake uchezaji gani huu
Uto kama hizo sindano 6 zinakuuma sana sema tutoe hapo mbili zibaki nne angalau ulale usiku.Hahahaha offside za wazi na zinaonekana ila zisizo offiside zinaamuliwa na marefa wa mchongo
kuna siku hawa Uto watakuja kula kichapo we waache tu wajinenepeeeSalamu ziwafikie Utopolo
Hallow are you there?!Papaso Square Squid.View attachment 2121223