FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

Ilikamiwa
Tunaweza kusema ni kukamia ila kimpira tunaita game approach. Ambacho cha kwanza mwalimu anaenda kucheza huku akimuheshimu mpinzani wake kuwa ni bora kuliko yeye hivyo hana cha kufanya zaidi ya kuwazuia kufunga goli la mapema. Hivyo akili yake inawaza katika kujilinda zaidi kwa kupaki basi kisha amsubiri mpinzani wake afanye makosa kwa kucheza counter attack. Hiyo ndio silaha kubwa kwa timu underdog inapocheza na mpinzani.

Kocha na wachezaji wa Ruvu waliingia kwa kukariri maneno ya mtandaoni na maneno ya mitaani kuwa Simba ni timu mbovu kwasasa kisa tu wameangalia trend ya matokeo ya Simba ya nyuma kuwa wanapata ushindi kwa mbinde mno mara nyingine kwa msaada wa waamuzi, badala ya kufanya analysis kujua wenzao walitumia mbinu gani kufanikiwa kuwadhibiti Simba.

Kilichowaponza Ruvu ni hicho kutaka kudhihirisha kuwa wao wanaujua sana kucheza mpira kuliko Simba wakataka kushindana na simba kucheza mpira badala ya kushindana na simba kwenye mbinu. Wanaoingia na mifumo ya kupaki basi sio wajinga
 
Haha!ila mashabik wa simba mnakera sanaa...na ndo maana mkiwa kweny hali mbaya mnakuwa wanyonge haswa
 
Pooole , pole Sana! Soka ina Maajabu Sana! Kwa Mfano tu We Fikiria Nyinyi Utopolo Gapu lote hili lililopo Halafu 'eti' mtu Aje Akwambie Kwamba 'Kwapa' Mwaka Huu Hamnyanyui..! Utamwelewa Kweli..? Hilo ndo SOKA..!
 
Simba iliyomfunga mtu goli 7 ni simba ipi yakale au ya sasa?

Kwanini swala la kujua matokeo ya simba lihitaji nguvu kubwa ya kumbukumbh wakati recently hapa tumemuua mtu 7

Haya we bingwa wa kumbukumbu niambie msimu uliopita mashindano haya yanga alitolewa na nani na kwa idadi gani ya magoli?
 
Tatizo mnakariri, na hiki ndicho kitawaumiza wapinzan wa simba.

Kama hujui kawaulize ASEC MIMOSA

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…