princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Machalii wamekaza sana ๐๐๐๐๐
Timu za west afrika zipo strategical sana, mwanzo unaeza sema ni wazembe kumbe wanakula timing tuu, na wanajua hapo uwanjani kuna scouts wakutosha plan zao ni kwenda mambele, meanwhile vijana wetu wanawaza simba na yanga ๐ฎ๐ฎ๐ฎHii mechi basi tu kombe lilikua letu kama dizaini walitusoma halafu na sisi hatukutaka kubadilika.
We mngoni umeanza kuchangamka..๐Ila Wana siasa hawasikii kwaninii? Waja tulisema hapa, wawaache watoto wacheze kwa ari na morari yao pasipo hata kupata presha na rapsha za hao watu wa kijani.
Hawasiki, wamefanya team imekosa ushindii, veggies wana Nuksi na Gundu, hivi hawajajifahamu bado au? Wanakera sana, wananukaa damu za hao ndugu wa watoto waliopotea Oct 2025. Si watulie huko Dom mjengoni kwao wagonge meza.
Mxxxiiiieeeew!
Mbogamboga ni janga kwa taifa .Asante dj, watoto walitulia shida imeanzia kwenye hamasa
Nimeliona hili, chance zaidi ya 3 za wazi kabisaKuna nafasi nyingi sana za kuiua mechi madogo walikua wanalazimisha kufunga sehemu ya kumpasia mtu afunge kwa urahisi sasa sijui waliahidiwa zawadi binafsi kwa atakaefunga?
Hawana akiliAndromeda Galaxy neno moja kwa machawa
Veggies wanakera sanaa, hao watoto wamekosa ubingwa kwa nuksi na gundu lao.We mngoni umeanza kuchangamka..๐
Hawa madogo JF tulianza nao mdogo mdogo, hatua ya makundi, enzi izo mpira unarushwa CAF YouTube tu, ila ilipoanza siasa, wengi tukaona sawa wacha lipite,Hii mechi hawa madogo wala hawakutakiwa kufika matuta. Kuna nafasi nyingi sana za kuiua mechi madogo walikua wanalazimisha kufunga sehemu ya kumpasia mtu afunge kwa urahisi sasa sijui waliahidiwa zawadi binafsi kwa atakaefunga? All in all wamejitahidi kufika adi hapo bila siasa kuingia walikua wanachukua hii ndoo kimya kimya..
๐ ๐ Mashabikiwa wa Senegal tuna part ta yetu ya supu mchesho, hawa jamaa sijui kama hawato tuma defender kutuharibia partyNamshukuru Mungu chama langu Senegale limebeba kombe
Limesaidi kuondoa noise pollution humu taifani
Hii mechi hawa madogo wala hawakutakiwa kufika matuta. Kuna nafasi nyingi sana za kuiua mechi madogo walikua wanalazimisha kufunga sehemu ya kumpasia mtu afunge kwa urahisi sasa sijui waliahidiwa zawadi binafsi kwa atakaefunga? All in all wamejitahidi kufika adi hapo bila siasa kuingia walikua wanachukua hii ndoo kimya kimya..
Yani pale mbele wamefanya utoto sana ambao tungeshinda sio chini ya goli3 unlkauta watu watatu wanakimbiza mpira hawaachani ili wapeane pass fupi fupi! Namna gani hapo mbele! Yani mpk mtu unainuka unalaani namna gani vijana.. kilichoniudhi zaidi kocha anaona ujinga wote hazbadiliki ameona tayari nao wanapokonya mipira mara waligundua tunacheza kwa kurelax pass 700 kocha anaona wanapiga pass dar mpaka ikwiriri habadiliki! Anaacha tunaanza kutumia mindset ya kuzuia sasa jamaniTimu za west afrika zipo strategical sana, mwanzo unaeza sema ni wazembe kumbe wanakula timing tuu, na wanajua hapo uwanjani kuna scouts wakutosha plan zao ni kwenda mambele, meanwhile vijana wetu wanawaza simba na yanga ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
๐ ๐, kimewauma nguvu zimewaishia walikuwa wameshaanza kuandaa mapambio ya kusifu na kuabudu kwa huyo mama yao, kikowapi sasa๐ ๐ Mashabikiwa wa Senegal tuna part ta yetu ya supu mchesho, hawa jamaa sijui kama hawato tuma defender kutuharibia party