Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Yanga wasibweteke. wenzao Man City leo walitangulia kuifunga Spurs lakini mwishowe wamenyeshewa misimu 4 ya magoli.

mpira ni filimbi ya mwisho (na si dakika 90).

Ukweli ndiohuo
 
Kwa taarifa nilizozipata simba watadroo ili kutopoteza kura kwa UKAWA,kwani yanga wakifungwa watapiga kura za hasira kwa maccm.Hivyo mpaka game inaisha yanga1 na simba1.
 
Mpira dk 90 au mmesahau mlivyotufunga ,,,3-0 kipindi cha kwanza tukachomoa zote

Achana na historia wewe,historia vitabuni mpira uwanjani...
Subiri 2nd half tuongeze lingine na mengine.
 
Kwa taarifa nilizozipata simba watadroo ili kutopoteza kura kwa UKAWA,kwani yanga wakifungwa watapiga kura za hasira kwa maccm.Hivyo mpaka game inaisha yanga1 na simba1.

Hahaha polenisana
 
Achana na historia wewe,historia vitabuni mpira uwanjani...
Subiri 2nd half tuongeze lingine na mengine.

Waache wajifariji tu, tukiwapiga kingine watabadili maneno.
 
Kwa taarifa nilizozipata simba watadroo ili kutopoteza kura kwa UKAWA,kwani yanga wakifungwa watapiga kura za hasira kwa maccm.Hivyo mpaka game inaisha yanga1 na simba1.

Tulia wewe,naona unajipa moyo usidhani hatukumbuki kiapo chako,ndio ujifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…