youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Oooh ni zaidi ya Shehe Yahya wewe
ahahahaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh ni zaidi ya Shehe Yahya wewe
Matokeo pls
Tatzo simba wanakamia game sana, ndio shida hiyo , Yanga wamerelax km hawapo uwanjani
Utaona...mpira dk 90
Yanga wasibweteke. wenzao Man City leo walitangulia kuifunga Spurs lakini mwishowe wamenyeshewa misimu 4 ya magoli.
mpira ni filimbi ya mwisho (na si dakika 90).
Wanajisahaulisha
Matokeo pls
Mpira dk 90 au mmesahau mlivyotufunga ,,,3-0 kipindi cha kwanza tukachomoa zote
Sisi 1 mikia 0
Achana na historia wewe,historia vitabuni mpira uwanjani...
Subiri 2nd half tuongeze lingine na mengine.
Yanga itashinda goli 1 litakalopatikana kipindi cha kwanza kupitia kwa mshambuliaji Hamisi Tambwe na mpaka dk 90 Yanga 1 Simba 0.
Lete utabiri wako hapa.
Leo Simba ikishinda UKAWA wanaingia Ikulu,
Yanga ikishinda CCM wanaingia Ikulu.
Kwa taarifa nilizozipata simba watadroo ili kutopoteza kura kwa UKAWA,kwani yanga wakifungwa watapiga kura za hasira kwa maccm.Hivyo mpaka game inaisha yanga1 na simba1.
Muda bado
Achana na historia wewe,historia vitabuni mpira uwanjani...
Subiri 2nd half tuongeze lingine na mengine.
Achana na historia wewe,historia vitabuni mpira uwanjani...
Subiri 2nd half tuongeze lingine na mengine.
Kwa taarifa nilizozipata simba watadroo ili kutopoteza kura kwa UKAWA,kwani yanga wakifungwa watapiga kura za hasira kwa maccm.Hivyo mpaka game inaisha yanga1 na simba1.
yanga leo lazima tufungwe, tumetangulia tuu na baiskeli ya mti