mimi ni mshabiki wa yanga ila kama wanaunga mkono ccm basi wafungwe tu! kwakuwa hamna namna!
hata dume pia ni mpiraKama Kawaida Yetu,kiiza Ndani Anachukua Mpira Wake Mwingine Kesho Taifa
Tanzania kuna ligi ama vyama vya mpira!? Si bora nikaendelea kuangalia marudio ya ligi ya Dr. Mwaka ama toroka uje na Ustadhi.
Simba anashinda goli mbili ...yote Kiiza ..