Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu yamebaki masaa takribani 16 kipenga kipulizwe kuashiria mtanange mkubwa kuanza kati ya Simba na Yanga zote za Dar.Mbali na kuwa ni watani wa jadi timu hizi zina histori kubwa katika mpira wa Tanzania.Mashabiki wana hamasa kubwa wakitegemea mpira na ufundi wa hali ya juu...Kamanda wako ninaahidi kukuletea live updates hapahapa JF kila dakika itakayocheza.Tulia
yanga 7 simba 1
mimi ni mshabiki wa yanga ila kama wanaunga mkono ccm basi wafungwe tu! kwakuwa hamna namna!
Ukawa wako wapi hapo!