Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mkuu mbona ulikua huonekani?Au ulikua hujiamini?
mzitendee haki 800 hadi dakika ya mwisho ok
Jamani, kama shabiki mmoja na bango lake alivyosema, Mungu si wa upande mmoja, hawa yanga tumewafunga sana, nao wafurahi kidogo ma kupata ile hisia ua kumfunga mtani! Hivi toka Manji aingie yanga wametufunga kweli ukitoa leo? kama ipo basi ni mata moja au mbili!
Hongereni.
Mechi iliyochezwa leo katika dimba la uwanja wa taifa ni mechi ya 80 kuwakutanisha Simba na Yanga. Katika hizo mechi 80 Yanga mabingwa watetezi wakimfunga simba mechi 30, wakifungwa mechi 23 na kutoa draw mechi 27.
Kuwa shabiki wa Yanga na Arsenal ni raha sana
Subiri na tuone,leo tusipowalamba goal 2-0 basi mmejijitutumua sana 2-1.
Hii copy aipate Masuke na Apologise lady
Naumwa mamito, sina hamu na siku ya leo.
View attachment 291614
Pole wifi, umenionea wapi kaka yako? Nimesubiri kadi weeeeee, sijui kaimeza?? Hahahaaa hapana chezea yanga wewe.
Hahahaaaaa hata usiponiambia poa tuuu, maana raha waliyonipa yanga leo haina kifani, apotee tu kwakweli.
Aisee!!!
Miyanga ikibahatisha ushindi huwa ni sheeeeeeeedah!!!! Loh!!!
Simba vp saa zenu zimegoma?