Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Mkuu mbona ulikua huonekani?Au ulikua hujiamini?

Kutoka 20:8: Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.

Nilikuwa madhabahuni Mkuu. Biblia inasema utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni na mengine yote (mfano kumfunga Simba etc) mtazidishiwa.
 
sembo, nilikwambia viongozi wako hawajamlipa yule mganga wenu
 
Last edited by a moderator:
Jamani, kama shabiki mmoja na bango lake alivyosema, Mungu si wa upande mmoja, hawa yanga tumewafunga sana, nao wafurahi kidogo ma kupata ile hisia ua kumfunga mtani! Hivi toka Manji aingie yanga wametufunga kweli ukitoa leo? kama ipo basi ni mata moja au mbili!
Hongereni.
 
Pamoja na ninyi kutunyanyasa kwa kipindi kirefu, kumbuka kuwa mechi nyingi zimekuwa zikiisha kwa sare mfano mechi 5 za ligi zilizotangulia mechi ya leo Simba ilishinda mechi moja na Yanga mechi moja huku mechi tatu tukitoka sare au suluhu.

Kwa mapambano yote Yanga bado tunaongoza kwa mechi zaidi ya 5 tulizowafunga Simba. Mara ya mwisho tuliwafunga mwaka 2013 Manji akiwa Mwenyekiti, una swali jingine?

Yanga Daima Mbele Nyuma Mikia.
 
Mechi iliyochezwa leo katika dimba la uwanja wa taifa ni mechi ya 80 kuwakutanisha Simba na Yanga. Katika hizo mechi 80 Yanga mabingwa watetezi wakimfunga simba mechi 30, wakifungwa mechi 23 na kutoa draw mechi 27.
 
CC. barafuyamoto (aione ndani ya kichwa chake).
 
Last edited by a moderator:
Subiri na tuone,leo tusipowalamba goal 2-0 basi mmejijitutumua sana 2-1.
Hii copy aipate Masuke na Apologise lady

Naumwa mamito, sina hamu na siku ya leo.
IMG-20141018-WA0022.jpg
 
Pole wifi, umenionea wapi kaka yako? Nimesubiri kadi weeeeee, sijui kaimeza?? Hahahaaa hapana chezea yanga wewe.

Wifi kama wew mnazi wa Yanga sikwambii alipo my kaka ibra87 kuja huku.
 
Last edited by a moderator:
Naona leo mikia wapo kimyaaaaaaaa!!!!
Yanga juuuuuuu, juuuuuuu zaid
 
Simba vp saa zenu zimegoma?
 
Attachments

  • 1443299844235.jpg
    1443299844235.jpg
    14.8 KB · Views: 216
  • 1443299856594.jpg
    1443299856594.jpg
    10.6 KB · Views: 215
Naskia leo gongo na mataputapu zimeisha haraka kwenye grosari za pombe za kienyeji, Wanayanga wanashangilia ushindi
 
Back
Top Bottom