Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Simba 1 Yanga 3,goal difference ni 2,
Simba anawezafungwa 2-0,4-2 ama 8-10...huo ndio utabiri wangu
 

Kiongozi kiingilio Tsh ngapi?
 
utafiti wa hatuwezi unaonesha kwamba simba inashinda goli tano.
 
Mm ni shabiki damu wa yanga, ila kwasababu wanavaa jezi zinazoshabihiana na CCM wafungwe tu, maana hamna namna nyingine naweza shabikia kijani.
 
Munatoa sare kisha watoto wa mjini (Azam) tunaongoza ligi.
 
Weka UKAWA hapa sogeza CCM huku.

kwa masaa kadhaa kama sio siku kadhaaa jiji la Dar es salaam lita sahau siasa kwamuda na kupeleka mawazo yao taifaaa... Miamba miwil ya soka nchini Tanzania Simba sports club itakuwa inamkaribisha Young Africans katika mchezo wa ligi mzunguko wa kwanza.

Ikumbukwe hakuna timu imepoteza mchezo msimu huu na kila timu imeruhusu goli moja tuu.

Huku Tambwe huku Kiiza... Wote watakuwa wanapokea zomea zomea ya mashabiki kwakuwa walitoka pande pinzan.

Je nan ataeka heshima dar? Nan ataendeleza unbeaten msimu huu? Unaweza ukatabiri hapa ila matokeo halisi keshoo tar 26/09/2015

Tuvutee subiraa. Muda ni saa kumi jion mida ya afrka mashariki...
 

Attachments

  • 1443216614461.jpg
    27.5 KB · Views: 443
  • 1443216633372.jpg
    60.7 KB · Views: 430
  • 1443216649479.jpg
    36.9 KB · Views: 407
Can't wait kuona mikia wakipokea kipigo cha mbwa mwizi!
Wapi popoma GENTAMYCINE?Jiandae mapema kunyonyolewa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…