Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

Kidogo ninakaushabiki na Yanga lakni kwa kuwa wanashabihiana na chama fulani basi leo nitakuwa Msimbazi labda mwakani joto la uchaguzi litakapo isha
 
sitaki niifananishe timu yoyote na ukawa maana viongozi wa hizo timu wote ni waadilifu kuinanisha timu yoyote na ukawa ni sawa na kuitunia viongozi wake
mimi ni wa simba sitaki kufananishwa na wezi,walanguzi,na mafisadi papa wa ukawa labda kama ninyi watani zangu wa yanga ndo muwe ukawa
 
Mpira wa Simba na Yanga si mpira bali ni mashindano ya uchawi, hivyo nawapa Simba 7 Yanga 2. kwani mchawi (mkuu wa benchi la ufundi) alipata uchawi wakw toka kwa mchawi wa Simba.
 
Kiongozi kiingilio Tsh ngapi?
Kiingilio cha chini
kitakua ni shilingi elfu saba
(7,000).
Katika mchezo huo kiingilio cha
juu kitakua ni shilingi Elfu
Thelathini (30,000) kwa viti vya
VIP A, Elfu Ishirini (20,000) kwa
viti vya VIP B & C, huku kiingilio
cha shilingi Elfu Saba (7,000)
kikiwa ni kwa viti vyenye rangi ya
Blu, Kijani na Orange.
Tiketi za mchezo ho zitaanza
kuuzwa siku ya Ijumaa saa 2
kamili asubuhi katika vituo
vifuatavyo: Karume – Ofisi za TFF,
Buguruni – Oilcom, Dar Live –
Mbagala, Uwanja wa Taifa, Luther
House – Posta, Ferry – Kivukoni,
Mnazi Mmoja, Ubungo – Oilcom
na Makumbusho – Standi ya
mabasi ya daladala
 
Dah watu wanaanzisha uzi siku mbili kabla ya gemu halafu wanasema Live updates,nadhan lengo ni kutaka kuonekana ameanzisha uzi uliochangiwa zaidi.Nothing more nothing less.Period
kwa hiyo mkuu kimekuuma sanaaa mimi kuanzisha uzi 2 days b4
 
Simba sports club, Unyama unyamani; kila la heri, najua Yanga timu yao ni nzuri kuliko yetu lakini jitihada, nidhamu na kujiamini kutatupa ushindi japo wa goal moja.

ni mwanasimba wa kwanza kuithibitisha yanga ni timu nzuri kuliko yao..
 
Watani mnapoelekea kuangalia gemu ya leo, mnatakiwa mtambue kua;
SIKU ZOTE MAWINDO YA SIMBA HAYANA MZAHA.
 
Matokeo yanajulikana kilichobaki ni kukamilisha ratiba
 
Tambweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeereeeeeeeeeeeeee,,,,goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaal
 
Hii sio Daresalaam Derby
hii ni Tanzania derby ....

labda iitwe kariakoo derby.....
 

Elfu saba kiingilio cha chini? Halafu TFF wanategemea uwanja ujae? Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…