Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
kwa hii ya leo haya machungu yatachukua muda kupungua... ngoja nikumbuke ile match ya tano bila
Usipate shida...machungu yako yaamishie oct 25....ni mwaka wa mabadiliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hii ya leo haya machungu yatachukua muda kupungua... ngoja nikumbuke ile match ya tano bila
Mikia FC
dah! Siamin macho yangu weekend imekuwa mbaya sjapata kuona...
Wakuu ngapi ngapi?
Usiku mwema
Dah! Siamin macho yangu weekend imekuwa mbaya sjapata kuona...
Asee Leo full raha man city kakaaa simba kakaa Man U nae akikaa then the Blues tukishinda yaan itakua poa sana!
Kwa leo timu ya ccm imeshinda
kwa leo timu ya ccm imeshinda
Usipate shida...machungu yako yaamishie oct 25....ni mwaka wa mabadiliko
aiseee simba yangu maskin.. Mmenifanya vibaya sana bora.. Ngoja niende nyumban nikalale maana nahis kizunguzungu kabisa
Huku yanga kule Man U naomba Man ishinde ili weekend iwe muruaaa