OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
GoaaaaaaaalKakosa hahaha
Huogopi ww.......,.?Hakuna goli hapo utashangaa hahaha
Hahaha mmepewa goli la bure na refaGooooaaal
Simba 1 Bravos 0
Ahoua 26
Salamaleko salamalekoNipo hapa najiamini hii game Simba hapati goli hata la kupewa
SawaHahaha mmepewa goli la bure na refa
Kipa kaifuata lakini imepigwa mbali sanaHakuna goli hapo utashangaa hahaha
KabisaaaPenati nzuri.
Kapigwa haswa
Linarudi hilo mpira bado sanaHuogopi ww.......,.?
Nguvu moja........,πͺπͺπͺπͺπͺ
Huoni aibu kushangilia penalty Mkuu?Sikiliza penati ioooooooo