Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
PoleeHahaha mmepewa goli la bure na refa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoleeHahaha mmepewa goli la bure na refa
Kumbe umeona alikua anakosa ila game bado mbichi sanaKipa kaifuata lakini imepigwa mbali sana
Hiyo hangover ya Jana bado unayo?.....wale Wasudan wamejua kuwaonea....Azizi kiiiiiiiiiiiiiiii goool gol gol
Goli linarudi hiloUnaota Mkuu
Sawa.Hahaha mmepewa goli la bure na refa
Ndio tayari tumeshapata goli🙂Jamaa wana kipa mtata hakuna goli leo labda mpewe benati ya ubwela
Tulia hapo hapoGoooooooooooal Ahoua....
1-0
Benati ya ubwelaNdio tayari tumeshapata goli🙂
Ndo magoli yetu sindomnavosemaga basi sisi tutakua tunafunga hayo hayoHuoni aibu kushangilia penalty Mkuu?
Ilikuwa anakosaje wakati kapata. Wewe ni Uto nini?Kumbe umeona alikua anakosa ila game bado mbichi sana
UBAYABenati ya ubwela
Ungeipata wewe jana nadhani ungetoa hadi hicho kilemba mkuuHuoni aibu kushangilia penalty Mkuu?