Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Sasa hivi kila timu inacheza mpira.
Ukikaa na mawazo kuwa timu yako bora utaishia maumivu.
Kama ya Utopolo
 
FB_IMG_17327619704720844.jpg
 
Mutale kila akidrible anakula ngwala,sasa sijui tumlaumu kwa lipi?
An force kudrible wakati angecheza one to one ingesaidia sana timu... kuna sehemu za kudrible lkni unamuona mwenzako yuko kwenye nafasi nzuri si umpe mpira utafute nafasi nyingne ya kupta mpiraaaa
 
Point 3 kwa mbinde hahaha mmepelekewa moto haswa ulimi nje nipo na mashabiki wa Simba muda wote wanaomba mpira uishe roho juu juu hahaha
Ila juzi ilikuwaje alipeleka moto kwa alhilal mkafungwa sasa nani kafaidika hapo kati yako uto na mnyama?

Mpira sio kumiliki tu mpira ufunge na ulinde ushindi kwa namna yeyote ile
 
Back
Top Bottom