Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Ni aheri Simba wanashiriki haya mashindano ya wanawake. Kitimu kimekuja jana vimeona tu uwanja wa mazoezi leo asubuhi ndio vinawasumbua namna hii tena mko nyumbani. Mkitoa mguu nje ya Tz zile tano tano zinaweza kujirudia.
 
FULL TIME ⏰

Simba Sc 1️⃣ ➖ 0️⃣ Bravos
1732723099814.jpg
🇦🇴

⚽ 26' Jean Ahoua (P)

Mnyama amekusanya alama tatu za mechi ya kwanza.

#TotalEnergiesCAFCC
 
Tumepata point tatu, ila hii ni moja kati ya mechi za kimataifa tuliowahi kucheza kipumbavu zaidi tukiwa home ground.
Nahisi tatizo ni kochi na sio wachezaji. Failure sina imani naye hata kidogo.
 
Back
Top Bottom