Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mukwala hakuna kituBeki ya Simba ipo compact sana
Subiri mfungweNamna gani Desse Mukwala
KakosaMukwalaaaa namna ghani hapa
Kama kawaida yakeMukwala amekosa chance ya wazi hapa...daaah
Subiri gemu mpira unadundaWewe ndoutakimbia siti hapa
Hongera mkuu
Hata wa Tabora Boys aliifuata ya Aziz Ki akaikamata, akaanzisha fasta wakapata bao lingineGolikipa kaifuata penati mmepewa
Mkuu tuheshimiane, mimi kwenye maneno ya shombo ni fundi.Dada Simba unasemaje?
Sawa mchambuzi si hauoni pira linalopigwa hapaIngawa simba huwa ina shindaga lakini haina footbal yenye Taste...
Huonagi build up ...
Fowadi yake inakimbia tu na kupiga kupelekea ktk box...
Nilitarajia kwa team ya BRAVO tunge enjoy ufundi ufundi..
Ina magoli mengi ya penalti...
Kama kuna ndoto za kucheza walau SEMIS ...cjui..
hahaha. DahSisi kama Utopolo 🐸🐸🐸 hiyo kwetu ni 'losers cup'....Bora ufungwe Club bingwa kuliko ushinde Shirikisho...😉😉
Hahaha fundi tena?Mkuu tuheshimiane, mimi kwenye maneno ya shombo ni fundi.
Sawa mchambuzi si hauoni pira linalopigwa hapaIngawa simba huwa ina shindaga lakini haina footbal yenye Taste...
Huonagi build up ...
Fowadi yake inakimbia tu na kupiga kupelekea ktk box...
Nilitarajia kwa team ya BRAVO tunge enjoy ufundi ufundi..
Ina magoli mengi ya penalti...
Kama kuna ndoto za kucheza walau SEMIS ...cjui..
Mnafanya Nini huko klabu bingwa?Shirikisho ni Kombe la rede la mademu wajane aka single mothers!
Wanaume uto tuko klabu bingwa!!