Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

Tayari Afisa Ubashiri nimeingiza sh. 40k kwa uwekezaji wa 11k

1732715003772.png
 
Shirikisho ni Kombe la rede la mademu wajane aka single mothers! Vibonde wanatoana jasho!!

Kipimo ni simba kufika fainali!!

Wanaume uto tuko klabu bingwa!!
 
Ingawa simba huwa ina shindaga lakini haina footbal yenye Taste...
Huonagi build up ...
Fowadi yake inakimbia tu na kupiga kupelekea ktk box...
Nilitarajia kwa team ya BRAVO tunge enjoy ufundi ufundi..
Ina magoli mengi ya penalti...
Kama kuna ndoto za kucheza walau SEMIS ...cjui..
 
Sawa mchambuzi si hauoni pira linalopigwa hapa
 
Back
Top Bottom