Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

HALF TIME Benjamin Mkapa Stadium

SIMBA 1 (Ahoua 26')
FC BRAVOS 0
 
HT
Ila Tumecheza vibaya. Tofauti yetu na vyura ni uwezo wa kutengeneza nafasi. Na vyura wametuzidi kwa kampa kampa tena
 
Yes tunaongoza. Ila kiwango kibovu mno mno.
Mabadiliko ya wachezaji na aina ya uchezaji yanatakiwa yafanyike.
 
Inachezacheza tu ili mradi kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…